Mwisho wa ubishi CAFCL Pretoria, Afrika Kusini. Mechi za pili za Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya nusu fainali zinapigwa leo kwenye viwanja viwili tofauti, hadi saa sita usiku timu zitakazokwenda fainali zitakuwa...
Simba, KVZ zaanza kufukuzia mil 50 WAKATI KVZ ikiialika Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Muungano leo kuanzia saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, timu zinazoshiriki zimetangaziwa zawadi ya Sh50 milioni kwa itakayobeba...
Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ Nahodha wa kikosi hicho, Ramadhan Yussuf Isaa alisema licha ya kuwepo kwenye mapumziko ya mwezi mmoja lakini wamerudi wakiwa na nguvu na ari mpya na wapo tayari kuipambania timu hiyo.
PRIME Ukiwa na macho ZPL marufuku BODI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPLB) kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Issa Kassim ameliambia Mwanaspoti hawatamruhusu kucheza mechi mchezaji yeyote atakayebainika kuwa na tatizo la macho mekundu maarufu...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
PRIME BABA BACCA: Nilitaka awe mshambuliaji, ila hajamzidi mdogo wake KAMA ilivyo kwa wazazi, huwa na mipango yao juu ya watoto wao, bila kujua kuwa baadae inaweza isitimie ndivyo ilivyotokea kwa Mzee Abdallah Hamad ‘Bacca’.
Dabi ya Mashemeji... K'Ogalo yaizamisha tena Ingwe BAO pekee la dakika 30 lililowekwa kimiani na Austine Odhiambo limeiwezesha Gor Mahia kuizamisha tena AFC Leopards katika pambano la Dabi ya Mashemeji lililopigwa jioni ya leo Jumapili, jijini...
Imefichuka, Xavi abadili uamuzi Liverpool IMEFICHUKA. Kocha wa Barcelona, Xavi anadaiwa kubadili uamuzi wake wa kuondoka katika timu hiyo mwisho wa msimu huu na badala yake anataka kubakia na kuendelea kuifundisha msimu ujao.