PRIME Pacome anajua, halafu anajua tena! WAKATI anatambulishwa kwa mashabiki, kuna watu walimchukulia poa. Unajua kwa nini? Hakuwa na rekodi tamu za kusisimua, zaidi ya kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Ivory Coast. Na hii...
JIWE LA SIKU: Yanga walivyoziba pengo la Mayele kimyakimya KABLA hajapanda ndege kwenda Riyadh, Saudi Arabia, msimu mmoja nyuma yake Manchester City walikuwa mabingwa wa Ligi Kuu England na mfungaji bora alikuwa Riyad Mahrez. Alifunga mabao 24 ya msimu...
PRIME PUMZI YA MOTO: Mcolombia wa Azam FC aikataa jezi FRANKLIN Jesus Navarro, nyota mpya wa Azam FC kutoka Colombia, ameikataa namba ya jezi aliyoandaliwa na klabu hiyo. Navarro ambaye kwao alikuwa akivaa jezi namba 10, aliandaliwa jezi namba 13...
Ishu ya Asante Kwasi na Simba iko hivi Bado Simba hawana sababu ya kuwa na hofu, wanaweza kutoa hoja zao za msingi kwa CAS na kuomba hukumu, kisha wakalipa na kukwepa adhabu hiyo.
Waletee Simba na Yanga SIMBA inaanza leo, Yanga kesho kwenye mechi za awali za makundi za michuano ya CAF. Wekundu wa Msimbazi wapo Guinea kutupa karata ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ikiwa Kundi C kwa kuuamana...
Simba yafyeka wachezaji 20 KATIKA mfululizo wa makala hii maalumu ilitokana na mahojiano na nyota wa zamani wa Simba aliye kocha msaidizi wa timu huyo, Seleman Matola na kuona namna alivyosajiliwa kwa Sh 100,000 huku...
Ndemla tuliyemsubiri, tumemuona MASHABIKI wengi wa soka Tanzania wanakumbuka mwaka 2013, wakati Yanga ilipokuwa inavaana na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa (sasa Uwanja wa Mkapa). Waliojaa...
Undani mchezo wa bao BAO ni moja ya michezo migumu ulimwenguni kutokana na mahesabu yaliyosheheni wakati wa wakucheza mchezo huo, jambo ambalo linahitaji umakini na weledi wa hali ya juu katika uchezaji kwake. Kila...
PRIME Acha inyeshe tujue panapovuja Dabi ya Kariakoo PRESHA ya mchezo wa ‘Kariakoo Dabi’ kwa mashabiki wa Yanga na Simba nchini tayari imeanza kupanda wakati ikibakia siku moja tu kwa miamba hiyo kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kesho...
Mafua: Hadi Diamond aliwahi kukodi cheni kwangu BURUDANI yake kubwa siku zote kwake imekuwa kupanda juu ya ulingo kama msaidizi wa bondia na ikishindikana kwa bondia wa ndani basi usishangae kumuona akiwa kwenye kona ya bondia mpinzani hata...