Nini Diarra? Hawa walitisha kwa kudaka MASHABIKI wa Yanga kwa sasa wanatembea kifua mbele. Sio kwa sababu chama lao limetinga nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuing'oa Rivers United ya Nigeria, la! Ila...
PRIME Simba mpya goma limewaka, wakubaki, kusepa na wapya SIMBA imemaliza msimu ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara nafasi ambayo ilimaliza nayo msimu uliopita. Kwenye Ligi Kuu hayo siyo mafanikio makubwa kwa kuwa matarajio yao...
Kilichomponza Dabo na wengine 16 Azam FC Yousouph Dabo amekuwa mhanga mwingine wa machinjio katili zaidi ya makocha hapa nchini, Azam FC. Katika misimu yake 16 kwenye ligi kuu, Azam FC ‘imechinja’ makocha 17, huku wengine wakienda na...
PRIME Yanga vs Singida BS, fainali ya rekodi, heshima MWISHO wa ubishi. Ndiyo, ngoja tuone itakuwaje katika fainali ya msimu huu ya Kombe la Shirikisho (FA) inayopigwa Jumapili. Mechi hiyo ya kufungia msimu wa 2024-2025 inazikutanisha Yanga...
Kwa mziki huu! Kipigwe tu, ubishi uishe LIGI Kuu Bara msimu wa 2022-2023 ipo ukingoni. Imesaliwa na mechi za raundi zisizozidi nne kabla ya kufikia tamati Mei 28 mwaka huu, huku vita ya ubingwa ikisalia kwa vigogo Simba na Yanga.Yanga...
Wakiamua, mbona wanatoboa freshi tu SIKUMBUKI mwezi, lakini ilikuwa 2007 Simba ilifanikiwa kumsajili beki wa kati mwenye mwili jumba kutoka Tusker ya Kenya. Namzungumzia George Owino aliyewahi pia kukipiga Yanga kwa misimu miwili...