MTU WA MPIRA: Manara alipaswa kuwajibishwa kitambo, TFF wamechelewa sana HATIMAYE Msemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na soka kwa muda wa miaka miwili na faini ya Sh2 milioni. Ilikuwa ni jambo la muda tu kufahamu kama nyakati hizi zitatokea kwa...
Zoran kiboko, aleta mifumo mitatu Simba, kuitest na Yanga KAMBI ya Simba imezidi kunoga baada ya beki Mohamed Ouattara aliyetambulishwa juzi kutoka Al Hilal ya Sudan kuanza tizi na wenzake huku akionekana wamoto, lakini utamu ni Kocha Zoran Maki...
Wapya Simba wabanwa, waarabu wafuatilia mastaa, mmoja Sh930 milioni yao ya kawaida kiujumla. “Tuna masharti ya aina mbili ambayo wachezaji wetu tunawapa ambayo ni ya kiufundi na kinidhamu. Ya kiufundi kama ni mshambuliaji basi tunamwambia tunahitaji...
Tisa kusepa Yanga Princess MSIMU ujao huenda Yanga Princess ikakosa huduma ya wachezaji wake tisa walioitumikia misimu kadhaa nyuma. Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya timu hiyo zinaeleza ripoti ya kocha wa kikosi...
MTU WA MPIRA: Kuna ushamba mwingi kwenye usajili Bongo USAJILI kwa timu za Ligi Kuu umeshika kasi. Kila timu inajipambanua kushusha kifaa kipya. Kila timu inajinasibu kushusha wachezaji wa maana zaidi ya wapinzani wao. Kasi ni kubwa zaidi kwa Simba,...
Watano Simba kutua leo Misri, wapya watatu kutambulishwa wiki ijayo SIMBA tayari imeshatua hapa Ismalia na kufikia hoteli ya kishua ya Mercure Ismailia Forsan Island tayari kwa kambi ya wiki tatu kabla ya kurejea Tanzania Agosti 5. Lakini kama hukumbuki ni kwamba...
Yanga haiendi kokote, kujifua Dar Licha ya klabu za Simba na Azam FC kutimkia nchini Misri kwa ajili ya kuweka kambi za maandalizi ya msimu ujao, upande wa Yanga mambo ni tofauti.
Mkomola anukia Bongo STRAIKA Yohana Mkomola anayekipiga katika klabu ya Vorskla Poltava ya nchini Ukraine anatajwa yupo mbioni kujiunga na timu za Ligi Kuu kwa mkopo.
Nabi ashusha sapraizi Yanga Nabi yuko kwao likizo, lakini ameliambia Mwanaspoti kwamba ana sapraizi mbili za kumalizia usajili kwenye benchi lake la ufundi. Anataka mtaalam wa kusoma video za wapinzani ambao ni wazi kwamba...
Yassin amtibulia Gadiel kwa Singida SIMBA ilikuwa na mipango ya kumtema Gadiel Michael ili imvute, beki wa kushoto wa Polisi Tanzania, Yahya Mbegu, lakini dili hilo limekufa. Wameamua kumbakisha kikosini.