Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9138 results for Mwandishi :

  1. Rekodi dabi za Agosti

    MECHI ya lawama imefika. Ndio, watani wa jadi wa soka nchini, Simba na Yanga leo Alhamisi watashuka uwanjani kumalizana katika pambano la Ngao ya Jamii, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini...

  2. Shetani wa Buswita alivyoibuka tena kwenye usajili wa  2024/25

    Dirisha la usajili kwa Tanzania limefungwa Agosti 15 na kuhitimisha mwezi mmoja na nusu wa pilikapilika za kuwania wachezaji zilizotawalia na visa na mikasa.

  3. Mikakati ya GBT katika mapambano dhidi ya mashine haramu za sloti ‘Dubwi’

    Michezo ya kubahatisha inajumuisha michezo ya aina mbalimbali ikiwemo Bahati Nasibu ya Taifa, kasino, michezo ya kubashiri matokeo (sports betting), michezo inayotumia jumbe fupi (SMS Lottery) na...

  4. Simba mpya ya rekodi 4 tamuu!

    SIKU hazigandi. Kama utani umefikia muda wa Simba kuadhimisha siku yao.

  5. Simba, Yanga zinavyobadilika kiufundi

    Klabu ya Yanga juzi ilimtambulisha kocha wake mpya Sead Ramovic kuchukua nafasi ya Miguel Gamondi ambaye amefungashiwa virago baada ya kukaa Jangwani zaidi ya mwaka mmoja.

    Mabadiliko Pict
  6. PRIME Diarra, Camara mwanzo mpya

    KWA miaka mingi iliyopita katika soka, makipa walichukuliwa kuwa na kazi moja tu, nayo ni kuzuia mpira usiingie wavuni.

    Mwanzo (1)
  7. PRIME DUH! Dili la Mzize unanunua uwanja wa KMC na chenji inabaki

    AKIWA ndio kwanza ameitumikia Yanga kwa misimu miwili na nusu tu, mabilioni ya pesa yanamuita Clement Mzize, akiwindwa na klabu kadhaa ikiwamo ofa mpya nono kutoka Al Ittihad ya Libya.

  8. NIONAVYO: Ukiacha ushindani... Yanga, Simba ni utalii tosha kwa mashabiki

    DABI ya Kariakoo hutawaliwa na mbwembwe kabla ya mchezo. Ni mchezo ambao kila kitu siku hiyo husahaulika ikiwamo mechi za kimataifa inazoshiriki timu hizo, kama ilivyokuwa Jumamosi ya Oktoba 19...

  9. PRIME Kibabe zaidi... Yanga na rekodi tamu Kombe la Shirikisho (FA)

    UNAIKUMBUKA ile mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) iliyopigwa Julai 25, 2021 kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, mjini Kigoma?

    YANGA Pict
  10. PRIME WANA KITU! Masupastaa hawa piga ua majina yao yatachomoza Ballon d’Or 2025

    VINICIUS Junior anakabiliwa na ushindani mkali kwenye vita ya kushinda tuzo ya Ballon d’Or 2025.

    KITU Pict
Previous

Page 855 of 914

Next