Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9349 results for Mwandishi Wetu :

  1. Gaucho arudi Simba Queens

    BAADA ya vita ya muda mrefu kati ya Simba Queens na Yanga Princess juu ya mshambuliaji wa Twiga Stars, hatimaye Simba imeshinda vita hiyo na imefanikiwa kuinasa saini ya Mwanahamisi Omary...

  2. Musonda: Subirini muone! dili lake kama filamu

    YANGA juzi usiku ilimtambulisha rasmi mshambuliaji mpya kutoka Zambia, Kennedy Musonda, lakini mwenyewe amefungua dili lake lilivyokuwa, huku akiwaahidi mashabiki wa klabu hiyo kwamba amekuja...

  3. Simba yanasa straika mpya

    KIKOSI cha Simba bado kipo Dubai huku mabosi wa klabu hiyo wameendelea kuimarisha kikosi chao kimya kimya kwa kunasa straika mwingine wa mabao anayeungana na kina Saido Ntibazonkiza na Jean...

  4. Ndemla tuliyemsubiri, tumemuona

    hana haja ya mashabiki kumpigia kelele, wengi wanachohoji kwa sasa ni kwa nini Simba walimuuza, lakini amefika, hapa ndiyo sehemu yake salama zaidi. Akiwa Simba mashabiki walikuwa na sifa moja tu...

    New Content Item (1)
  5. Yanga akili kubwa, Yacouba OUT

    BAADA ya mapumziko ya siku 10 tangu walipocheza mchezo wa mwisho, Yanga jana ilirudi mazoezini kuanza kujiandaa na muendelezo wa ligi na ratiba yao iko hivi. Kikosi hicho kimerudi kazini kikiwa...

  6. Nabi kiboko yao

    HIVI unaposoma habari hii, kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi ametimiza jumla ya siku 624 tangu alipoanza kuinoa timu hiyo akiwa ameiongoza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu mara moja, Ngao ya Jamii mara...

  7. Simba yaleta fundi mpya

    MABOSI wa Simba waliwasapraizi mashabiki wa klabu hiyo kwa kumsajili na kutambulisha kiungo mshambuliaji, Saido Ntibazonkiza ambaye mechi ya kwanza tu akiwa na timu hiyo alifunga hat trick na...

  8. Kijiwe cha Salim Said Salim: Hii ndio asili ya hat trick

    wataalamu wa kandanda. Utata uliongezeka juu ya historia na asili ya neno hili hat-trick. Vyama vya michezo vingi hadi leo vipo katika mvutano wa kila mmoja kudai asili yake inatokana na mchezo wao.

  9. Mtihani, waamuzi Bongo pasua kichwa - 1

    lakini wana sifa sawa na yule wa Ligi Kuu,” anasema mkufunzi huyo mwandamizi ambaye anafafanua pia juu ya maswali ya wadau wengi kutaka kujua kuna tofauti ya mafunzo baina ya waamuzi wa kati na...

  10. CAF yagomea namba ya Saido

    rekodi zangu nje ya Tanzania imenifanyia makubwa.” Saido ambaye amesajiliwa na Simba dirisha hili la usajili tayari ameonyesha umuhimu wake ndani ya timu hiyo, akifunga mabao matatu na asisti moja...

Previous

Page 837 of 935

Next