PRIME NIONAVYO: Makocha Wetu Waamke au Waamshwe? KLABU ya Yanga imeachana na kocha raia wa Ujerumani, Sead Ramovic kwa makubaliano ya pande mbili. Habari hii imeghubika vyombo vya habari vya hapa nchini na pia hat nje ya nchi.
PRIME Maswali 10 uraia nyota Singida BS HATUA ya wachezaji watatu wa Singida Black Stars kutangazwa kupewa uraia wa Tanzania na kuthibitishwa na Idara ya Uhamiaji, imeibua mijadala kuanzia mtaani hadi katika mitandao ya kijamii, huku...
PRIME Maeneo matano Taoussi amefeli Azam FC AZAM FC juzi usiku ililazimishwa sare ya bao 1-1 nyumbani na Namungo, ikikamilisha mechi ta tatu mfululizo bila kuonja ushindi.
NIONAVYO: Usajili makini wa klabu ni silaha ya mafanikio MOJA ya kumbukumbu zitakazokaa muda mrefu kuhusu msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara 2023-2024 ni mchezo wa kwanza wa Azam FC dhidi ya Tabora United.
JELLAH: Nahodha Stars aliyeteseka kwa miaka 20 kitandani NGULI wa zamani wa Taifa Stars, Jella Mtagwa alifariki dunia juzi jijini Dar es Salaam baada ya kuteseka kitandani kwa miaka 20. Tunarudia sehemu ya mahojiano yake na Mwanaspoti akiwa kitandani...
NIONAVYO: Bila waamuzi wazuri, VAR haitoshi Mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Mamelodi Sundowns ya Afrika ya Kusini na Yanga ya Tanzania utabaki katika kumbukumbu za wapenzi wa Yanga, Mamelodi na...
Krismasi vicheko, vilio EPL LIGI Kuu England itarejea tena Novemba 23, ambapo kuanzia hapo hakutakuwa na mapumziko tena hadi mwakani na katika kipindi chote hadi kufikia Desemba 30, kila timu itakuwa imecheza mechi nane za...
NIONAVYO: Manchester City katikati ya mtego mgumu England MABINGWA wa Ligi Kuu England (EPL), Manchester City, juma hili wako katika mtihani mgumu pengine kuliko yote waliyowahi kupitia katika historia ya klabu hiyo.
Matatizo Ya Mikataba Ya Wachezaji MWAKA 2000, Yanga ilimsajili kijana wa kidato cha pili shule ya sekondari Makongo, aliyekuwa akiichezea Kagera Stars (sasa Kagera Sugar), aliyeitwa Ephraim Makoye.
NIONAVYO: Ushindani wa jezi unavyoinua soka letu MIAMBA ya soka nchini, Yanga na Simba zina historia ndefu kwenye mchezo huu na zaidi ya yote ni tambo zao uwanjani. Hata hivyo, mbali na uwanjani, hata nje ya uwanja zimekuwa zikitambiana kwa...