Mnalia Ruge kufa! Tusherehekeeni ILIKUWA Aprili 2012. Kipindi ambacho Taifa la Tanzania lilikuwa limeondokewa na tunda jema la sanaa za maigizo, Steven Kanumba. Kwenye line ya simu nilikuwa nazungumza na Ruge Mutahaba.
Afichua siri ya ushirikina kwenye masumbwi, yeye ni muumini wa hili kutoka salama ulingoni. Leo Cheka atafunguka siri zote ikiwa ni pamoja na mbinu alizotumia kuwanyamazisha mabondia waliokuwa na umaarufu mkubwa hapa Bongo. Unajua kwenye masumbwi nako kuna...
Wasanii kuweni wakweli ili msaidiwe Siku hizi, hadi kina mama wa vijijini wameunda vikundi vya kusaidiana wa-kati wa shida. Hata hivyo, wasanii wetu hawa hususan wa muziki wamekuwa wabinafsi sana na maisha yao.
Kapuya awatwanga maswali manne wanaohoji ndoa yake Katika uchaguzi huo, Profesa Kapuya alipitishwa na Chama cha Mapinduzi kugombea Jimbo la Urambo Magharibi lakini alipigwa mwereka na Magdalena Sakaya aliyesimama kwa tiketi ya Chama cha Wananchi...
Shikamkono afunguka kuhusu Mo Dewji ,achoshwa na visa vya Gaga na Kizota TAKRIBANI wiki nzima tulikuwa tunaangazia mazungumzo kati ya mfadhili, mratibu wa zamani wa Simba, Jabir Ally Shikamkono na mwandishi wetu MOHAMMED KUYUNGA.
SHIKAMKONO : Kigogo huyu wa Yanga ni Simba wa kutupwa LEO Jumatatu tunaendelea na makala haya kati ya mwandishi wetu na Jabir Ally Shikamkono yaliyofanyika wiki iliyopita kijijini Gomero, Kisaki mkoani Morogoro.
SHIKAMKONO : Nimefilisika kwa sababu ya Simba SC BENZI rangi nyeusi linasimama pembeni mwa Uwanja wa Taifa (sasa Uwanja wa Uhuru) jijini Dar es Salaam na anashuka mwanaume mmoja mfupi na mtanashati.
Guardiola afichua majanga yalimponza kwa Madrid TOLEO lililopita kwenye Kitabu cha Pep Confidential, tuliona namna ambavyo Mwandishi Marti Perarnau aliendelea na mahojiano yake na Kocha Pep Guadiola na moja ya swali alilomuuliza ni iwapo...
Guardiola mikono juu kwa Madrid “Kwa hali hiyo katika mazingira kama hayo mwaka umekuwa wa mafanikio, mataji manne kati ya sita, tumepoteza kwenye Ligi ya Mabingwa lakini jinsi tulivyopoteza ndilo jambo lililotuachia hasira na...
Yanga Princess yaisaka Simba Queens Tanzanite ilipanda msimu huu baada ya kushika nafasi ya pili katika Ligi Daraja la Kwanza kwa kufungwa katika fainali ya ligi hiyo na Yanga Princess iliyoshiriki pia ligi ya daraja la kwanza kwa...