Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9085 results for Mwandishi :

  1. Yanga, Azam ya sura mpya

    ASILIMIA kubwa ya sura za mechi ya leo ya Yanga na Azam ni mpya tofauti na msimu uliopita. Yanga na Azam mara ya mwisho walikutana Aprili 25 mwaka huu na Yanga kukubali kipigo cha bao 1-0 hadi...

  2. PRIME Inonga aamua kuondoka Simba

    KWA Kiswahili cha kijiweni wanasema; “Imeisha.” Beki kitasa cha Simba aliyeng’ara na DR Congo kwenye Afcon, amefanya uamuzi wake kimyakimya na akapiga kimya vilevile. Na uamuzi huo unamaanisha...

  3. PRIME Waarabu watua kumng'oa Benchikha

    TAARIFA ambayo mabosi wa Simba na mashabiki wao watachekelea kuliko ni hii ya kocha Abdelhak Benchikha kuchomoa kwa mara ya pili ofa ya kuifundisha timu ya taifa lake, yaani Algeria. Amekataa...

  4. JIWE LA SIKU: Ronaldo? Hazard anatafuta kiki mjini

    LONDON, ENGLAND. MDAHALO wa nani zaidi, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi umechukua sura mpya. Kumpata mshindi ni shughuli pevu. Vita yao ni kali. Mmoja amebeba Ballon d’Or tano, mwingine...

  5. Shabiki wa Simba, Man Utd ashinda Sh173 milioni

    Dar es Salaam. Shabiki wa klabu ya Simba na timu ya Manchester United ya England Seif Babu amefunga droo ya Perfect12 ya kampuni ya M-Bet kibabe baada ya kushinda Sh173 milioni kwa kubashiri...

  6. Yanga na rekodi zake tamu CAFCL

    Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara kwanza kwenye historia ya klabu hiyo, baada ya kuichapa CR Belouizdad mabao 4-0 kwenye Uwanja wa Mkapa

  7. PRIME Mo atuliza presha Simba

    Wakati timu ya Simba ikiwa imebakiza kuwania kombe moja tu msimu huu, Rais wa Heshima wa klabu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo’ amewasiliana na benchi la ufundi na wachezaji wote wa timu hiyo, akitaka...

  8. Ihefu yaongeza presha ya Derby

    MKWAJU wa penalti uliopigwa na kiungo mshambuliaji, Clatous Chama dakika ya 72, umeisaidia Simba kupata sare ya bao 1-1 ugenini mbele ya Ihefu katika pambano la Ligi Kuu Bara, ikiifanya timu hiyo...

  9. Picha hii ina ujumbe mzito

    Ni jambo ambalo huwa nadra kutokea katika ligi yetu lakini juzi katika Uwanja wa Liti, Singida tumelishuhudia. Baada ya mechi ya Simba dhidi ya Ihefu SC kumalizika kwa sare ya bao 1-1, Kocha...

  10. PRIME Ripoti ya Gamondi yashtua Yanga

    LICHA ya mazoea yaliyopo ya ripoti za makocha kutolewa mwishoni mwa msimu kwa upande wa Yanga mambo ni tofauti baada ya kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi kuwasilisha mapema ripoti kwa...

Previous

Page 757 of 909

Next