MZEE WA UPUPU: Azam remontanda inawezekana, lakini! WAKIWA ugenini jijini Benghazi huko Libya, Azam FC walifungwa 3-0 na Al Akhdar SC ya huko, na kujiweka kwenye hatihati ya kufuzu raundi inayofuata ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mashabiki wa...
JICHO LA MWEWE: Kauli ya Nahimana kwa Simba inafungua sura mpya HATUISHIWI vituko. Labda usafiri kwenda nchi nyingine lakini hapa nchini huwa hatuishiwi. Majuzi kipa wa KMC, Jonathan Nahimana amelazimika kuiomba radhi klabu yake baada ya kutangaza hadharani...
Dah! Yanga watamu sana MSHAMBULIAJI wa kimataifa Zimbabwe anayeichezea FC Platnum ya kwao, Donald Ngoma, anayehusishwa na mipango ya kutua Jangwani, amefungua kinywa chake na kutamka maneno machache tu akisema: “Yanga...
Hazard katikati ya viburi viwili vya Perez PESA inaongea? Labda, lakini mara chache sana huwa inashindwa kuongea. Florentino Perez ana utajiri wa dola bilioni moja tu. Roman Abramovich, ana utajiri wa dola bilioni tisa. Wakati mwingine...
ROHO NYEUPE: Simba ikikosa ubingwa, Aveva na jopo lake wajiuzulu KUKUBALI kushindwa sio kosa. Mwanadamu mwenye fikra chanya akiona jambo linamzidi uwezo ama linamtatiza hukubali kuomba msaada kwingine ama kuachana na jambo hilo. Wakati mwingine maisha...
NYUMA YA PAZIA: Ronaldinho, nitalipia mkutano na waandishi wa habari JUNI 11, 2005 katika Ukumbi wa MCI Centre jijini Washington, Marekani, bondia Mike Tyson aliwashangaza mashabiki wa ngumi duniani kote.Kabla ya kuanza kwa raundi ya saba ya pambano lake dhidi ya...
NYUMA YA PAZIA : Perez na peni yake ya Almasi NDEGE ya kifahari zaidi duniani Air Force One anapanda Rais wa Marekani. Haikutengenezwa kwa ajili ya usalama wa Rais wao tu pia ilitengenezwa kwa ajili ya kuonyesha ufahari wa Taifa la Marekani.
STRAIKA WA MWANASPOTI: Kuchaguana kwa kujuana kunaturudisha nyuma Timu zetu za taifa kwa mara nyingi haswa nchini Kenya zimekuwa hazifanyi vyema katika mashindano ya barani Afrika kisa na maana vikosi vimekuwa vikichaguliwa kulingana na vile watu wanajuana.
MPAKA HOME : Kwa Dante ni kazi tu! ILIKUWA safari ndefu kiasi hadi kufika mahali ambapo anakaa beki wa kati wa Mtibwa Sugar, Andrew Vincent ‘Dante’. Lengo la kumuibukia maskani yake ni kutaka kukupa aina ya maisha yake nje ya soka.
Niyonzima mchezaji bora Tanzania 2012/13 KIUNGO wa Yanga, Haruna Niyonzima, ameshinda Tuzo ya Mwanasoka Bora 2012/13.