MZEE WA UPUPU: Mgunda katika njia ya Tito Mwaluvanda alikuwa mzawa Paul ‘West’ Gwivaha. Simba ilipofika fainali ya Kombe la CAF 1993, kocha alikuwa mzawa Kibaden. Namungo ilipofika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika mwaka 2020, kocha...
Huu hapa wasifu wa Mbrazil Yanga Kocha mpya ambaye anatarajiwa kujiunga na Yanga ni raia wa Brazil, Roberto Oliveira anayeinoa Vipers ya Uganda. Kocha huyo ndiye aliyeifunga Yanga kwenye kilele cha Siku ya Mwananchi jijini Dar...
Nabi baibai, Yanga yaleta kocha Mbrazil Ligi ya Mabingwa Afrika tena akiipigia mpira mwingi kwa kutumia kikosi chenye thamani ambayo haifikii ile ya Yanga. Kwa mujibu wa mwandishi wa Mwanaspoti jijini Kampala, Oliveira kwenye...
Kayoko aweka rekodi MWAMUZI Ramadhan Kayoko jana aliweka rekodi kwa mechi za dabi za hivi karibuni baada ya kugawa jumla ya kadi za njano tisa, wakati Simba na Yanga zilipopambana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa...
ZA NDAANI KABISA: Azam, Simba zamsikilizia Nabi WAKATI taarifa zikidai mabosi wa Yanga wanafikiria kufumua benchi lao la ufundi chini ya kocha Nasreddine Nabi, Za Ndaani Kabisa zinasema wenzao Azam FC wanasikilizia maamuzi hayo, ili wambebe...
Mtani! Tripu hii sikuachi... KUNA mambo mawili kwenye mechi ya leo Jumapili saa 11 kamili jioni kwenye Uwanja wa Mkapa. Achana na ishu ya Moses Phiri kupania kuifunga Yanga kwa mara ya kwanza. Au Aziz Ki kutaka kuweka...
Yanga: Tukutane kwa Mkapa MASTAA wa zamani was Yanga, wamedai matokeo ya jana Jumapili usiku nchini Sudan hayana uhusiano wowote na mechi ya watani wa jadi Jumapili ijayo. Wamesisitiza Yanga kwenye mechi za ndani wameiva...
MTU WA MPIRA: Kwanini tunashobokea wachezaji wa Ulaya? KUNA ujinga mmoja unaendelea katika timu zetu kubwa nchini. Bahati mbaya unazidi kukua kila msimu. Ni hii tabia ya kushobokea wachezaji waliowahi kucheza Ulaya. Tuliona pale Yanga ilianza na...
Homa ya Dabi yaanza mapema WIKI moja kabla ya kupigwa pambano la watani wa jadi wa soka nchini, Simba na Yanga, zikikutana kwenye mechi ya 109 tangu Ligi ya Bara iasisiwe mwaka 1965, tayari homa ya pambano hilo imeanza...
ZA NDAANI KABISA: Ouattara anahesabiwa siku tu, kupisha wawili wapya Simba MABOSI wa Simba wamepanga kuongeza majembe mawili mapya dirisha dogo, huku beki wa kati, Mohamed Ouattara akihesabiwa siku kabla kuonyeshwa mlango wa kutokea. Za Ndaani Kabisa, zinasema Simba...