Dodoma Jiji kung'oa kiungo Simba UONGOZI wa Dodoma Jiji upo kwenye hatua za mwisho kutuma maombi kwa uongozi wa Simba kuona kama kuna uwezekano wa kumpata kiungo wa ukabaji, Victor Akpan aliyeshindwa kupata nafasi ya kucheza...
NYUMA YA PAZIA: Mungu mbariki Messi, dakika 90 za mwisho MWANDISHI mrembo wa kituo cha Televisheni cha Publica cha Argentina, Sofia Martinez alikuwa amesimama hatua moja kutoka kwa Lionel Messi. Peke yao. Machozi yalikuwa yanakaribia kumtoka. Na...
Mtajua hamjui! Mgunda apiga mkwara, Minziro apania SIMBA na Geita Gold zinatarajiwa kushuka uwanjani jioni ya leo kwenye pambano la Ligi Kuu Bara, huku kila timu ikikabiliwa na mtihani wa kuhakikisha inaondoka na pointi tatu na makocha wake...
Yondani awavuruga vigogo Geita MABOSI wa Geita Gold wamekuwa na vikao vya mara kwa mara huku ajenda kubwa ikiwa ni kujadili maboresho ya kikosi chao katika dirisha dogo pamoja na kuanza mikakati ya kuwabakisha wachezaji ambao...
Geita yaichimba mkwara Simba SIMBA imetua mkoani Mwanza kwa ajili ya kucheza mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita. Wekundu hao wa Msimbazi ambao walimaliza mzunguko wa kwanza wakiwa katika...
Mwamba amerudi Simba ALIYEWAHI kuwa Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ juzi alijitosa kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa klabu hiyo katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Januari 29...
Thomas Ulimwengu ajificha Dar DIRISHA dogo la usajili limefunguliwa rasmi leo Desemba 15 na Mwanaspoti limepenyezewa mshambuliaji Thomas Ulimwengu aliyekuwa akikipiga TP Mazembe yupo nchini na anasikilizia dirisha hili atue...
KMC, Coastal kazi ipo Dar “Tunafahamu kuwa mzunguko wa pili utakuwa na ushindani mkali kutokana na kila timu kuhitaji kufanya vizuri na hivyo tunakwenda kupambana ili tupate matokeo mazuri kwakuwa michezo yote ipo ndani ya...
Takwimu.. Yange walee wanatoboa CAF YANGA inaonekana kutishia maisha ya timu nyingine kwenye kundi lake la Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na rekodi zake ambazo zinatofautiana na wapinzani wake. Yanga imekuwa timu bora kwa...
Simba yanafafanua yalipo mabasi uongozi wa timu hiyo na kutaka kufahamu nini kinachoendelea baada ya magari hayo kukosekana kwa muda mrefu. Akizungumzia suala hilo Ofisa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally alisema magari...