Mayele balaa zito 2022, mkali wa dabi HAPANA shaka mwaka 2022 utakuwa wa kihistoria kwa nyota wa Yanga, Fiston Mayele kutokana na ubabe aliouonyesha katika kufumania nyavu kulinganisha na mastraika wengine wa timu mbalimbali...
Azam FC yamgeukia Kakolanya MABOSI wa Azam FC wamegonga hodi Msimbazi wakimtaka kipa namba mbili wa timu hiyo, Beno Kakolanya, ikiwa ni siku chache tangu kuwepo kwa kelele za Mcomoro, Ali Ahamada anayelalamikiwa kwa...
Duh! baada ya Fei Toto sasa Mayele, Bangala YANGA inaendelea kupambana kumrejesha kundini kiungo wao fundi Feisal Salum 'Fei Toto' lakini wakati hali haijapoa kuna tishio jipya tena limeshuka klabuni hapo mastaa wao wakubwa wawili nao...
Azam yamgeukia Inonga SAA chache baada ya kuwavuruga mashabiki na wanachama wa Yanga kwa kumng’oa kibabe kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’, klabu ya Azam FC imedaiwa sasa imeamua kuwageukia Simba, ikipiga hesabu ya...
Chama, Bocco wabebeshwa zigo Simba Clatous Chama na John Bocco leo watakuwa na kibarua kigumu cha kuibeba safu ya ushambuliaji ya Simba wakati itakapokabiliana na KMC ugenini kwenye Uwanja wa CCM Kirumba kuanzia saa 10:00 jioni.
Uchaguzi waipa Simba mamilioni KAMATI ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba jana ilimalizia zoezi lake la awamu ya pili ya kufanya usaili kwa wagombea, huku watano wakifyekwa kabla hata ya usaili huo kwa kukosa vigezo vilivyotakiwa.
Uzembe ulivyoiponza Simba, Kagera sare KWA msimu wa pili mfululizo, Simba imeshindwa kuondoka na pointi tatu kwenye Uwanja wa Kaitaba, dhidi ya Kagera Sugar, baada ya juzi usiku kulazimishwa sare ya bao 1-1 na wenyeji wao.
Bigirimana awaita fasta mabosi Yanga WAKATI Yanga ikipiga hesabu kali juu ya mastaa wake wa kigeni nani atoke ili washushe majembe mapya, moja ya majina ya mastaa wanaotajwa kuwa kwenye mipango ya kuondolewa ni kiungo Mrundi Gael...
DStv yaja na ofa kabambe msimu huu wa sikukuu cha Compact na kufuatilia vipindi kama The Best Man Holiday na kipindi maarufu cha Trevor Noah: Welcome to America pamoja na Mad Madea Week ndani ya Studio Universal. “Msimu wa sikukuu familia...
Kaburu arejesha fomu Simba KAMA ulikuwa unadhani Makamu wa Rais wa zamani wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ anabipu kwenye mbio za kutaka kurejea madarakani, basi pole yako, kwani kigogo huyo hatanii baada ya Ijumaa...