Simba, Yanga mtegoni CAF KITENDO cha Simba na Yanga kuwekwa katika vyungu tofauti katika zoezi la upangaji wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu litakalofanyika Johannesburg, Afrika Kusini, Ijumaa, Oktoba 6...
Siasa yajipenyeza AFCON 2027 MACHO yanamulikwa nchini Kenya kuhusu utayari wao wa kuandaa michuano ya Kombe la Afrika 2027 suala kubwa likiwa uwepo wa viwanja vyenye viwango vya kimataifa. Kenya wakishirikiana na mataifa...
Uwanja wa Arusha, hii imeenda mazee ya Tanzania imejipanga kwelikweli katika kubeba jukumu la uenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 itakayoshirikiana na nchi za Kenya na Uganda. Mara baada ya nchi kutambua...
Namungo, Mashujaa kazi ipo LIGI Kuu Bara inaendelea tena leo zikipigwa mechi mbili za raundi ya nne, wakati jioni Geita Gold itaialika KMC kwenye Uwanja wa Nyankumbu, mjini Geita, huku Namungo ikijitafuta mbele ya Mashujaa...
Gamondi ashtuka, awataja Wakongo DAKIKA 90 za mechi ya ugenini ya Al Merrikh ya Sudan na AS Otoho ya Congo Brazaville zimemshtua Kocha Miguel Gamondi akalazimika kuongeza nguvu ya ziada kuekelea mchezo wa leo. Gamondi ameurudia...
MZUKA WA GOFU: Mfalme James IV alivyoiweka gofu kwenye ramani Ulianza kuchezwa karne ya 15 huko Scotland, orijino yake ni huko eastern coast, Scotland. Bunge la Uskoti la Mfalme James wa Pili lilipiga marufuku mchezo huo mwaka wa 1457, Ingawa watu wengi...
MZUKA WA GOFU: Tanzania na historia ya kibabe GOFU ni miongoni mwa michezo mikongwe hapa nchini ukiachana na soka, riadha na ngumi ikielezwa kwamba ulianza kuchezwa mwaka 1950. Wakati mchezo huo unaanza kuchezwa ilikuwa ni miaka 10 kabla ya...
Timu ya Nyumbu yapiga mbili za kirafiki, yatoka 1-1 na Mashujaa Dar es Salaam. Timu ya soka ya Nyumbu ya mkoani Pwani inayojiandaa na Ligi Daraja la Pili imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya timu ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa...
PUMZI YA MOTO: Waamuzi wanalea madhambi Ligi Kuu , hapana. Ni matokeo ya udhaifu wa waamuzi wetu ambao wamekuwa wakikwepa kutoa adhabu kwa wachezaji wanaofanya madhambi. Hizi kadi huwakumbusha wachezaji kuwa makini uwanjani, zisipokuwa...
Mwakinyo abadilishiwa mpinzani Bondia Hassan Mwakinyo ambaye ilibidi acheze pambano la kuwania mkanda wa IBA Intercontinental dhidi ya Rayton Okwiri sasa amebadilishiwa mpinzani. Katika pambano hilo la raundi 10 litafanyika...