Stars kusaka rekondi mpya Afcon 2023 Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo inakabiliwa na kibarua kigumu ikicheza mechi ya kwanza katika fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka huu dhidi ya Morocco katika Uwanja wa Laurent...
Hizi hapa Sajili za Ligi Kuu Bara Dirisha la usajili msimu huu likielekea kufungwa usiku wa leo timu nyingi za Ligi Kuu Bara zimeshakalimisha baadhi ya sajili huku zingine zikipigana vikumbo bado sokoni.
Mshindi BSS kuondoka na kiwanja, Startimes kurusha mubashara BARAZA la Sanaa Taifa (BASATA) limesifu juhudi zinazofanywa na Mkurugenzi wa shindano la Bongo Star Search (BSS), Rita Paulsen kwa kuzalisha vipaji vya vijana wengi nchini kupitia sanaa ya...
Kanuni yagoma Singida FG kuwapeleka sita Ihefu SIKU mbili baada ya kutoka kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi, Singida Fountain Gate mambo yamebadilika kabisa. Ikiwa kwenye michuano ya Mapinduzi, timu hiyo ilikuwa inapewa nafasi kubwa ya...
Simba sasa yahamia kwa mrithi wa Chama Baada ya kuinasa saini ya mshambuliaji Pa Omar Jobe, Simba sasa inahaha kusaka kiungo mshambuliaji wa maana kabla ya dirisha la usajili halijafungwa leo saa 5:59 usiku. Mezani kwa mabosi wa...
Kanuni yagoma Singida FG kuwapeleka sita Ihefu SIKU mbili baada ya kutoka kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi, Singida Fountain Gate mambo yamebadilika kabisa. Ikiwa kwenye michuano ya Mapinduzi, timu hiyo ilikuwa inapewa nafasi kubwa ya...
Mashine ya Gambia kumn'goa Phiri Simba? Simba ipo kwenye mazungumzo ya mwisho kumalizana na mshambuliaji Pa Omar Jobe kutoka Gambia. Mwanaspoti linafahamu Simba itamtambulisha Jobe wakati wowote leo mchana akija maalum kwa kazi ya...
Mastaa Simba wapewa siku 10 KOCHA wa Simba, Abdelhak Benchikha wamewapa mapumziko ya siku 10 wachezaji wake ambapo watarejea kambini Januari 24 mwaka huu, kujiandaa na mechi mbalimbali za mashindano...
Gamondi awang'oa mastaa wawili Yanga kupisha usajili Winga Jesus Moloko rasmi amepewa barua ya kusitishiwa mkataba na Yanga baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka miwili na nusu. Moloko amepewa barua leo Januari 15 asubuhi ya kuachwa na Yanga...
Phiri, Baleke mtegoni, Mangungu atoa kauli Kiwango kisichoridhisha cha Moses Phiri na Jean Baleke kwenye Kombe la Mapinduzi hasa katika mechi ya fainali dhidi ya Mlandege juzi kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar kimemkwaza kocha Abdelhak...