Unamkumbuka Lewis vs Evander? Soma hapa Ikiwa imepita takriban miaka 25 tangu lilipopigwa pambano la kibabe la uzito wa juu duniani nchini Marekani kati ya Lennox Lewis Evander Holyfield, sasa linarudi buana. Itakumbukwa kwamba...
Kampuni ya Mwananchi ni mwendo wa kidijitali zaidi Ili kufanya hivyo, mtumiaji wa tovuti hizo atatakiwa kulipia Sh500 kwa siku, Sh3,000 kwa wiki, Sh15,000 kwa mwezi na Sh91,000 kwa mwaka mzima.
Afrika Kaskazini ilivyojenga utawala wake Afcon Fainali za mataifa ya Afrika (Afcon), 2023 zinaendelea huko Ivory Coast na sasa zinakaribia kumaliza raundi ya pili ya hatua ya makundi kabla ya kuanza kwa raundi ya tatu na ya mwisho. Haya...
Kisa Amrouche, CAF yaipiga rungu TFF Dar es Salaam. Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoza kiasi cha Dola 10,000 (Sh25 milioni) kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutokana na uvunjaji wa maadili uliofanywa...
JIWE LA SIKU: Tumeepushwa na Adel Amrouche, tujipange Waalgeria ambako kwa kawaida huwa ni vigumu. Hata tulipocheza na Waganda ambao ni wenzetu hapa Afrika Mashariki, tuliwamudu na hivyo kurahisisha njia ya kwenda Ivory Coast. Pengine mafanikio yake...
Simba kujua mbivu au mbichi MBIVU na mbichi kuhusu rasimu ya mabadiliko ya Katiba ya Simba inatarajiwa kufahamika leo wakati viongozi na wanachama wa klabu hiyo watakapokutana jijini Dar es Salaama kufanya Mkutano Mkuu wa...
JIWE LA SIKU: Mo Dewji mwishowe atachoka Simba KUNA vitu vingine vinaumiza sana. Ni kama hili la mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa Klabu ya Simba. Limekaa muda mrefu na sasa linatia kizunguzungu. Mchakato ulianza vizuri miaka saba nyuma.
PRIME Gamondi amkomalia Guede Yanga inaendelea kujifua kwa ajili ya kumalizia viporo vya mechi za Ligi Kuu Bara, Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) na michezo ya mwisho ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini...
DC Hanang apongeza bonanza la wanafunzi kuwasaidia kisaikolojia shule hizo, Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Jorodom, Balitoga Francis ameshukuru shirika hilo kwa kutoa semina kwa walimu juu ya ulinzi wa mtoto na utoaji wa huduma za kisaikolojia kwa watoto...
Hizi hapa sababu tatu zitakazomfukuzisha Amrouche Stars TAIFA Stars inatarajiwa kushuka uwanjani kesho Jumapili kuvaana na Zambia kwenye mechi ya pili ya Kundi F ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 baada ya awali kufungwa 3-0 na...