Napoli yatimua kocha kabla ya kuivaa Barcelona Klabu ya Napoli imetangaza kuachana na kocha wake wa muda Walter Mazzarri na kumpa timu hiyo Francesco Calzona, ambaye ataisimamia hadi mwishoni mwa msimu huu
PRIME Kwa Pacome, Chama na Ngoma watasubiri sana WAKATI mtandao wa Transfermrkt ukionyesha kuwa Pacome Zouzoua ana thamani ndogo kuliko Clatous Chama na Mzamiru Yassin, kiungo huyo wa Yanga ameonekana kuwakimbiza wawili hao wa Simba katika...
Ramadhani Brothers na kicheko cha mamilioni Rais Samia Suluhu Hassan kuwapongeza, baada ya kukoshwa na kile walichokifanya. Kupitia ukurasa rasmi wa Rais Samia wa mtandao wa Instagram, ameonyesha kufurahishwa na ushindi wa vijana hao na...
Simba: Tumejiandaa kushinda ugenini Kocha msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema wanakwenda Ivory Coast kwa jambo moja tu, kuhakikisha wanaipata ushindi dhidi ya Asec Mimosas. Simba imeondoka leo alifajiri kuelekeza Ivory Coast...
JIWE LA SIKU: Yanga walivyoziba pengo la Mayele kimyakimya KABLA hajapanda ndege kwenda Riyadh, Saudi Arabia, msimu mmoja nyuma yake Manchester City walikuwa mabingwa wa Ligi Kuu England na mfungaji bora alikuwa Riyad Mahrez. Alifunga mabao 24 ya msimu...
Kinda Mtanzania kupeperusha bendera Russia KINDA wa Tanzania, Harrith Chunga Misonge (12) ndiye Mtanzania pekee anayeiwakilisha Tanzania katika michuano maarufu ya Games of the future iliyoanza leo jijini Kazan Russia. Harrith ambaye ni...
JIWE LA SIKU: Tatizo sio Guede, ni Yanga yenyewe! Kelele zimeanza kuwa nyingi huko. Jina la Joseph Guede, straika mpya wa Yanga, likijadiliwa kila kona. Wapo wanaomponda wakisema 'Pale hakuna mchezaji'. Wengine wakisema 'Yanga imepigwa'. Kisa ni...
PRIME Chama ana mechi mbili tu Simba litakuja suala la pesa linalomuhusisha Chama sioni ambaye ana ubavu wa kupambana na Azam. Huwa wanashindwa katika siasa za mpira wetu lakini hawajawahi kushindwa katika suala la noti.
Ligi kuu England ni mshikemshike ndege tunduni Mchakamchaka chinja. Ndicho kinachokwenda kutokea kwenye Ligi Kuu England wikiendi hii, ambapo vita imezidi kuwa kali kwenye kilele cha mikikimikiki hiyo ya kibabe kabisa.
NBA All-star ni vita ya ukanda, kinapigwa kesho KESHO Jumapili kwa saa za Marekani na alfajiri kuamkia keshokutwa Jumatatu kwa saa za Afrika Mashariki, ule mchezo mkali unaohusisha mastaa walioupiga mwingi zaidi kwenye ligi ndefu (regular...