Yanga vs Ihefu mechi ya kisasi, kazi ipo hapa Ukisikia mechi ya kisasi ndo hii. Kikosi cha Yanga kikiwa na rekodi tamu ya kushinda mechi tano mfululizo za Ligi Kuu Bara, jioni ya leo Jumatatu kinarejea tena uwanjani kukabiliana na Ihefu FC...
Aucho amshusha presha Gamondi tunaielekeza katika mechi zinazofuata ambazo tunapaswa kupata ushindi ili tujiweke katika nafasi nzuri kwenye mbio za ubingwa. Yanga ina kikosi kipana chenye wachezaji ambao wanaweza kucheza vyema...
JIWE LA SIKU: Ishu ya Dube imejaa ukakasi hadi basi! KWA takriban wiki nzima kwenye soka nchini stori kubwa ilikuwa ni sakata la nyota wa Azam FC, Prince Dube aliyeondoka klabuni hapo, akitaka kwenda kutafuta changamoto kwengine. Inafikirisha. Dube...
JIWE LA SIKU: Yanga inabeba tena, Simba ikirudi kwenye vioo KOPLO wa Jeshi la Magereza, Samson Mbangula anaumaliza msimu wa Simba katika Ligi Kuu Bara kirahisi pale Jamhuri, Morogoro. Mabao yake mawili ni kilio kipya Msimbazi kwa kuzima ndoto za kuwania...
NIONAVYO: Afcon 2027 inagonga hodi, mlango uko wazi? jukumu la watu wa ufundi na ni jukumu linalohitaji muda kulifanikisha. Bahati mbaya muda hauko upande wetu. Mwandishi wa makala hii ni Katibu Mkuu mstaafu wa Shirikisho la Soka ...
JIWE LA SIKU: Hawa ndio kiboko ya Benchikha KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha ameondoka nchini kwenda Algeria kubrashi taaluma aliyonayo, akiwa ameiongoza timu hiyo katika mechi 15 za michuano yote kuanzia Ligi Kuu Bara, Kombe la...
PRIME Rasmi Dube apeleka mzigo wa kuvunja mkataba Azam FC BAADA ya Mwanaspoti kuripoti kwamba mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube ameandika barua kuomba kuvunja mkataba, klabu hiyo jana jioni ikatoka hadharani na kuthibitisha habari hiyo kupitia mkuu...
PUMZI YA MOTO: Mechi ya Azam, Yanga hatihati kufanyika RATIBA ya Bodi ya Ligi iliyotoka Jumatatu, Januari 29, ilionyesha kwamba mechi namba 168 ya Dabi ya Dar es Salaam kati ya Azam FC na Yanga itafanyika Machi 17 saa moja usiku uwanjani Azam Complex...
JIWE LA SIKU: Pacome, Chama mwanaume zaidi ni atakayekwenda nusu ILIANZA mvua ya kawaida alfajiri ya juzi Jumamosi na ilipofika usiku kukawa na mvua ya mabao kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa pale Temeke. Ndio, historia iliwekwa tena na Mnyama wakati alipokuwa...
Rekodi ya mabao Yanga, Simba CAF si mchezo Timu za Simba na Yanga zimeweka rekodi mbili mpya kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi msimu huu.