Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8230 results for Mwandishi Wetu :

  1. Mo Dewji aibua kitendawili kipya

    LICHA ya sintofahamu kinachoendelea Simba SC, Rais wa Heshima na Mwekezaji mwenza wa klabu hiyo, Mohamed 'Mo' Dewji ameibuka na kitendawili ambacho kinawaweka njia panda mashabiki na wanachama wa...

  2. Yanga yapata hasara, yaanika usajili na mishahara ya kina Pacome, KI 2023/2024

    KLABU ya Yanga SC imepata hasara ya zaidi ya Sh1 bilioni kwa mujibu wa ripoti yake ya mapato na matumizi kwa msimu wa 2023/2024. Ripoti hiyo iliyowasilishwa leo katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa...

  3. Beki wa zamani Simba, Yanga afariki dunia

    Beki huyo wa zamani alikuwa katika kikosi cha Tukuyu Stars 'Wana Banyambala' kilichotwaa ubingwa wa Ligi ya Tanzania Bara mwaka 1986 kabla ya kupita katika klabu mbalimbali ikiwamo Ndovu Arusha...

  4. Kundemba yaizima JKU, Malindi ikizinduka ZPL

    VINARA wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), JKU jana ilijikita ikisimamishwa na Kundemba kwa kulimwa mabao 2-0 katika mechi za lala salama za Ligi hiyo, huku Malindi ikizinduka kwa Uhamiaji. JKU...

  5. Mbili zapanda Ligi Kuu Zenji, Zimamoto yaua

    WAKATI maafande wa KVZ na Zimamoto wakifanya mauaji katika mechi za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) iliyopo ukingoni, timu za Muembe Makumbi na Inter Zanzibar zimekuwa za kwanza kupanda ligi hiyo kwa...

  6. JKT TANZANIA, Tabora UTD kumalizana kibabe Dar

    MAAFANDE wa JKT Tanzania jioni ya leo watakuwa na kibarua cha kujihakikishia kubaki Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao wakati watakapoikaribisha Tabora United katika pambano la marudiano la play-off...

  7. PRIME RIPOTI MAALUM: Janga, Watoto katika uraibu wa michezo ya kamari

    KATIKATI ya eneo la Mwandege Magengeni, wilayani Mkuranga mita 20 tu kutoka msikitini, kuna kituo cha michezo ya kubahatisha kinachoonekana kuwa cha kawaida.

  8. APR yamvutia waya winga Yanga SC

    KLABU ya APR ya Rwanda imevutiwa na huduma ya nyota wa Yanga, Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ na tayari imefanya mazungumzo naye ili aweze kwenda kuiongezea nguvu timu hiyo kwa msimu ujao wa...

  9. Yanga yavuna nusu bilioni za SportPesa

    YANGA mwendo wa fedha tu. Baada ya kujihakikishia kuvuna Sh 600 Milioni kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kutoka kwa wadhamini wa ligi hiyo, wababe hao wa soka nchini jana wamevuna fedha...

  10. Caf yaanza na Coastal Union, Azam

    Shirikisho la Soka Afrika (Caf) limezitaka timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao kukamilisha usajili wake mapema.

Previous

Page 632 of 823

Next