PRIME Meneja: Mayele ameikosea Yanga WAKATI mjadala ukiendelea kushika kasi juu ya shutuma alizozitoa mshambuliaji wa Pyramids Fiston Mayele, limeibuka jipya baada ya meneja wake aliyemleta nchini Nestor Mutuale kutoa neno kuhusu...
Unamkumbuka Lewis vs Evander? Soma hapa Ikiwa imepita takriban miaka 25 tangu lilipopigwa pambano la kibabe la uzito wa juu duniani nchini Marekani kati ya Lennox Lewis Evander Holyfield, sasa linarudi buana. Itakumbukwa kwamba...
Mechi tano za jasho na damu Wakati Azam FC ikiongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa tofauti ya pointi moja dhidi ya mabingwa watetezi Yanga, vita inaanza upya Februari kwa timu tatu za juu kuwania nani atakuwa kinara baada ya...
Simba, APR FC muda ni ule ule MUDA ni ule ule na mahali ni pale pale, wakati Mnyama Simba akirudi uwanjani kukamilisha ratiba ya mechi za makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 kwa kukabiliana na APR ya Rwanda, huku...
PRIME Dili la Msuva Yanga liko hivi MABOSI ya Yanga wamerudi tena kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Kitanzania, Simon Msuva wakitaka kufanya mpango wa kumsajili haraka kupitia dirisha dogo baada ya kuachana na klabu ya JS Kabylie ya...
PRIME Benchikha ahamia kwa wazawa usajili Simba KOCHA wa Simba, Abdehack Benchikha amebadili gia ya usajili kwenye timu hiyo na sasa amesema anataka kupata wachezaji bora wazawa na wawili tu wa kigeni. Simba ilikuwa inatarajiwa kufanya...
PRIME Yanga yapewa pacha wa Maxi, kocha aonya mabeki KLABU ya Union Maniema imenogewa na biashara na Yanga na sasa iko kwenye hatua za mwisho kumwachia winga fundi ambaye alikuwa pacha wa Maxi Nzengeli. Kocha wa Union Maniema ya DR Congo, Papy...
Kisa Amrouche, CAF yaipiga rungu TFF Dar es Salaam. Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoza kiasi cha Dola 10,000 (Sh25 milioni) kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutokana na uvunjaji wa maadili uliofanywa...
Tanzania yapanda nafasi mbili viwango vya Fifa Tanzania imepanda kwa nafasi mbili katika orodha ya hivi punde zaidi ya viwango vya FIFA Duniani, sasa inashika nafasi ya 119, kwa kujikusanyia pointi 1,160.98. Kupanda huku kumechangiwa na...
Mshindi BSS kuondoka na kiwanja, Startimes kurusha mubashara BARAZA la Sanaa Taifa (BASATA) limesifu juhudi zinazofanywa na Mkurugenzi wa shindano la Bongo Star Search (BSS), Rita Paulsen kwa kuzalisha vipaji vya vijana wengi nchini kupitia sanaa ya...