Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8215 results for Mwandishi Wetu :

  1. Gofu na Simba? Serengeti wana jibu

    SIO rahisi kuelezea msisimko ambao mcheza gofu ataupata wakati akicheza gofu huku akipishana na makundi ya Simba, Chui au Twiga.

  2. Madenti wapiga pedeli wafanya kweli

    OMARI Idd, mwanafunzi wa darasa la tano wa Shule ya Msingi Kange ameibuka bingwa wa mbio za baiskeli za kuadhimisha mwaka mpya wa Kiislamu wa 1446 zilizofanyika Kange jijini hapa.

  3. Kama una mtoto amemaliza Kidato cha Sita, matokeo yametoka!

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Said Mohamed amesema ufaulu kwa ujumla mwaka huu umepanda kwa asilimia 0.26 ukilinganisha na mwaka uliopita.

  4. Kina Diarra watishia kujiondoa Mali kisa sakata la Traore

    Wachezaji wametoa taarifa wakifafanua kuwa maamuzi yote ya awali kuhusu masuala ya timu yalifanywa kwa pamoja na kundi lote la wachezaji na siyo Traoré pekee na kueleza hapaswi kuwajibishwa peke...

  5. Coastal Union yapigishwa kwata na JKU

    UHONDO wa michuano ya Kombe la Kagame 2024 umeendelea mchana huu baada ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union kushindwa kuhimili vishindo vya maafande wa JKU ya Zanzibar kwa kufumuliwa mabao 2-0 katika...

    Coastal Pict
  6. Gor Mahia yaanza Kagame na kipigo

    MABINGWA wa Kenya, Gor Mahia 'K'Ogalo' imeanza vibaya michuano ya Kombe la Kagame, baada ya kulambwa bao 1-0 na Red Arrows ya Zambia katika mechi ya Kundi B, uliopigwa jana usiku kwenye Uwanja wa...

  7. Simba yajichimbia kambi ya kishua, yaanza na pumzi, stamina

    SIMBA imeingia siku ya pili ya mazoezi ikiwa kambini katika jiji la Ismailia, Misri lakini hadi jana mastaa wa timu hiyo walikuwa wakifanyishwa mazoezi magumu pekee, huku kipa Ayoub Lakred...

  8. Yanga yashusha kitasa kipya, msaidizi wa Aucho

    KLABU ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Aziz Andambwile kutoka Singida Fountain Gates kwa mkataba wa miaka miwili. Kiungo huyo amejiunga na Yanga kuongeza nguvu eneo la kiungo cha...

  9. Firmino atimiza ndoto ya uchungaji

    Nyota wa zamani wa Roberto Firmino kwa kushirikiana na mkewe, wameanzisha kanisa huko Maceio, Brazil ambalo yeye atakuwa miongoni mwa wachungaji. Kufunguliwa kwa kanisa hilo ni kutimia kuwa...

  10. Kagame Cup yaanza kinyonge Dar

    PAZIA la mashindano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) 2024 linafunguliwa leo ikiwa ni mara ya kwanza katika historia kwa mashindano hayo kufanyika Tanzania bila uwepo wa...

Previous

Page 623 of 822

Next