England kutumia AI kupiga penalty Kombe la Dunia Timu ya taifa ya England katika kuhakikisha inafanya vizuri katika Kombe la Dunia imeweka nguvu kubwa katika matumizi ya akili mnemba(AI) kuanzia upigaji wa penalti, kufuatilia ustawi wa...
Namba katikati ya bato la Arsenal, PSG PSG ndiyo mabingwa wa Ulaya kwa msimu wa pili mfululizo, wakichukua mara hii mbele ya mabingwa wa Ligi Kuu England, Arsenal.
Tiketi ya Sh5 bilioni Kombe la Dunia, mhudumu ni Infantino MASHABIKI wa soka duniani wamepata afueni kidogo kuelekea Kombe la Dunia 2026 baada ya bei za tiketi kuanza kushuka katika soko la kuuza tena tiketi, lakini tiketi za mchezo wa fainali zikiwa ni...
Barcelona kuitingisha Bayern Munich ikimtaka Harry Kane MSHAMBULIAJI wa Bayern Munich, Harry Kane yupo kwenye orodha fupi ya Barcelona ili kwenda kuchukua nafasi ya Robert Lewandowski anayeondoka.
Mastaa Manchester City wamlilia Pep Guardiola NGULI wa mpira wa kikapu duniani, Michael Jordan, alikuwa miongoni mwa mastaa waliompa heshima kocha anayeondoka Manchester City, Pep Guardiola, katika sherehe yake ya kuaga klabuni hapo ambayo...
Usilale na mapambo, madhara yake ni mengi Unaweza kuona ni jambo la kawaida kulala ukiwa umevaa hereni, cheni, vikuku au pete zako uzipendazo. Wapo wanaofanya hivyo kwa mazoea, wengine kwa kuhofia kupoteza mapambo yao, lakini unajua...
Teknolojia mpya ya 'offside' Kombe la Dunia usipime SUALA la waamuzi wasaidizi kuchelewa kuinua kibendera cha kuotea huenda ikawa historia baada ya FIFA kutangaza teknolojia mpya itakayotumika katika Kombe la Dunia 2026.
Mourinho amtaka beki Calafiori aletwe Real Madrid Kocha wa Real Madrid, Jose Mourinho anataka kumsajili beki wa Arsenal, Riccardo Calafiori, kama sehemu ya mpango wake wa kuijenga upya timu hiyo yenye maskani yake kwenye Uwanja wa Santiago...
Perez, Riquelme wachuana Vikali, Mourinho na Haaland watajwa MIVUTANO ya kisiasa ndani ya Real Madrid imeanza kuchomoza huku uchaguzi wa rais wa klabu hiyo ukikaribia Jumapili hii.
Babu Ferguson aonekana hadharani KOCHA wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson, mwenye umri wa miaka 84, ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu alipopelekwa hospitalini mwezi Machi kutokana na kuugua ghafla.