Mdogo wa Mandojo asimulia dakika za mwisho za kaka yake
Mdogo wa mwanamuziki na mfanyabiashara, Joseph Francis maarufu kama Mandojo, aliyefariki dunia jana Jumapili Agosti 11, 2024, amesimulia dakika za mwisho alivyokutana na kaka yake kabla ya umauti.