Namungo, Fountain Gate wapigwa kalenda Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuahirisha mchezo wa ligi baina ya Namungo FC na Fountain Gate FC uliokuwa uchezwe leo katika Uwanja wa Majaliwa Lindi.
Matatizo Ya Mikataba Ya Wachezaji MWAKA 2000, Yanga ilimsajili kijana wa kidato cha pili shule ya sekondari Makongo, aliyekuwa akiichezea Kagera Stars (sasa Kagera Sugar), aliyeitwa Ephraim Makoye.
Ligi ya Mabingwa Afrika: Vital’O yaulizwa “Mtamkaba nani!” MATUMAINI makubwa ya Watanzania leo yapo kwa Yanga ambayo kuanzia saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Azam Complex itakabiliana na Vital’O ya Burundi katika mechi ya awali ya raundi ya kwanza ya...
Simba, Yanga kuoga manoti CAF Uamuzi huu unalenga kusaidia timu katika raundi za awali kabla ya hatua ya makundi.
Pamba Jiji, Tanzania Prisons hakuna mbabe Kipa wa Pamba Jiji, Yona Amos, aliyeonyesha kiwango bora, alishinda tuzo ya Mchezaji Bora wa mechi hiyo.
Ateba awaweka kikaangoni wawili Simba Hali hiyo inasababisha shinikizo kwa wachezaji Freddy Koublan na Ayoub Lakred, ambao wanaweza kuachwa ili kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni kutoka 13 hadi 12, kulingana na kanuni za ligi...
Kikapu Mwanza mwendo wa dozi tu TIMU za Crossover (CIC) na Young Profile zimeanza kwa ushindi katika michezo yao ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza, huku wachezaji Hamis Hamis na Bryan Edward waking’ara na kuibuka nyota wa...
Yemi Alade agonga kolabo na Ziggy Marley ndani ya Rebel Queen STAA wa muziki wa AfroPop, Yemi Alade ametoa albamu mpya inayokwenda kwa jina la ‘Rebel Queen’ inayopatikana kupitia mtandao wa muziki wa Effyzzie Music.
Konshens aachia kichupa cha Shake It MSANII maarufu wa kimataifa wa Jamaica, Konshens, ameachia wimbo mpya uitwao ‘Shake It’ ukiwa katika audio na video.
Mbappe aweka rekodi mpya Real Madrid Kylian Mbappe jana alianza vyema kuitumikia Real Madrid baada ya kuifungia bao moja ilipopata ushindi wa 2-0 dhidi ya Atalanta kwa Uwanja wa Warsaw Poland.