Tyson, Paul hatihati kuzichapa LILE pambano kali linalosubiriwa kwa hamu kati ya nguli wa mchezo huo, Mike Iron Tyson dhidi ya Jake Paul, huenda likasitishwa kutokana na tatizo la kiafya lililomkumba bingwa huyo wa zamani wa...
Sikieni! Jeremie Frimpong atajwa Manchester City KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amewasilisha jina la winga-beki wa Bayer Leverkusen na Uholanzi, Jeremie Frimpong, 23, akitaka asajiliwe Januari mwakani.
Bruno aokoa mtu kwenye ndege MANCHESTER, ENGLAND: NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes aligeuka shujaa baada ya kuokoa maisha ya mwanamume mmoja kwenye ndege akiwa anakwenda jijini Lisbon, Ureno kwa ajili ya...
Amorim anaanza na huyu Kocha mpya wa Manchester United, Ruben Amorim ametaja jina moja la nyota anayetaka asajiliwe na miamba hiyo ya Old Trafford, dirisha la Januari.
Ndumbaro kuongoza mastaa 200 gofu Arusha Dar es Salaam. Zaidi ya wachezaji gofu 200 kutoka nchi mbalimbali za Afrika watashiriki katika mashindano ya Tanzania Open yaliyopangwa kuanza Novemba 21 mpaka 24 kwentye uwanja wa Kili Golf wa...
Ten Hag anukia AS Roma MANCHESTER, ENGLAND: KOCHA wa zamani wa Manchester United, Erik ten Hag ameripotiwa kuwa katika hatua nzuri kujiunga na AS Roma ikiwa ni wiki kadhaa tangu alipofungashiwa virago Oktoba, 28. Ten...
Vigogo Barca wataka maelezo kuhusu bao la Lewandowski BARCELONA, HISPANIA: VIGOGO wa Barcelona wameripotiwa kutuma barua kwenda kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Hispania, (RFEF) ili kupewa maelezo juu ya bao la Robert Lewandowski lililokataliwa...
Simba yatua bodi ya Ligi na barua SIMBA imefanya tathmini ya ratiba ya Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Afrika kwa mechi za mwishoni mwa mwezi huu na mwanzoni mwa Desemba na baada ya hapo ikapeleka barua bodi ya Ligi Tanzania...
SIO POA Kadi nyekundu za kushangaza katika soka MCHEZO wa soka ni wa makosa, kugusana na adhabu zimekuwa zikitolewa kutokana na wachezaji kuchezeana rafu.
PRIME MZEE WA FACT: Treni inavyookoa timu za Tabora Tabora United, warina asali kutoka mjini Tabora, wamefanya lile ambacho wengi wameshindwa kukifanya katika soka la nyumbani, kwa takribani miaka mitano sasa.