Simba, Yanga zinavyobadilika kiufundi Klabu ya Yanga juzi ilimtambulisha kocha wake mpya Sead Ramovic kuchukua nafasi ya Miguel Gamondi ambaye amefungashiwa virago baada ya kukaa Jangwani zaidi ya mwaka mmoja.
Rais Samia aipongeza Stars, Morocco aweka rekodi Kocha wa Taifa Stars, Hemed Morocco anaweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kuongoza benchi la ufundi la timu hiyo kuifanukisha kufuzu Michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon).
Diva, Niffer kuhojiwa na polisi Dar Jeshi la Polisi linawashikilia kwa mahojiano ya kina Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) maarufu Niffer kwa tuhuma za kuchangisha fedha kwa ajili ya walioporomokewa na ghorofa eneo la Kariakoo.
Morrison ageuka mbogo Ghana kutofuzu Afcon Winga Bernard Morrison ameishutumu timu ya taifa ya Ghana kwa kuwa na ubaguzi katika kuita wachezaji wa timu ya taifa jambo analoamini linachangia ifanye vibaya katika mashindano mbalimbali.
PRIME Yanga kupitisha panga lingine, yaleta watu wa kazi SEAD Ramovic ndiye kocha mkuu wa Yanga akichukua mikoba ya Miguel Gamondi aliyetimuliwa Oktoba 15 mwaka huu sambamba na msaidizi wake, Moussa N’daw.
Moallin atambulishwa Yanga, Kodro kumsaidia Ramovic Mtu wa mwisho kushika nafasi hiyo ndani ya Yanga alikuwa kocha Mholanzi Hans van Der Pluijm wakati timu hiyo kocha mkuu akiwa Mzambia, George Lwandamina kipindi cha uongozi wa Bilionea marehemu...
Waziri Mkuu aagiza Niffer akamatwe na Polisi Mwanamitandao na mfanyabiashara Jenifer Jovin 'Niffer' amekamatwa na jeshi la polisi kwa kukusanya pesa za michango kwa ajili ya waathirika wa Kariakoo waliopata majanga baada ya jengo la ghorofa...
PRIME Kazi nzito Yanga, Ramovic aanza na Al Hilal HUKO Yanga ndo sasa yanaanza. Ndio, kazi inaanza upya na presha ndani ya klabu hiyo sasa inahama kutoka kwa viongozi kidogo na kuhamia kwa wachezaji ambao leo watakutana kwa mara ya kwanza na...
Riadha Pwani yapata viongozi wapya CHAMA cha Riadha Mkoa wa Pwani kimepata viongozi wapya watakaokiongoza kwa miaka minne, akiwamo Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), Imani Makongoro.
Samia Cup Msasani kumekucha BINGWA wa Samia Supa Cup, Kata ya Msasani anatarajiwa kuvuna Sh4 milioni baada ya Diwani wa Kata hiyo, Luca Neghest ametangaza kwenye uzinduzi wa mashindano hayo.