PUMZI YA MOTO: Zamani mpira ulichezwa vizuri ila sasa unachezwa vizuri zaidi KUNA video inazunguka mitandaoni ambayo ilianzia kwa mwandishi mkongwe, Muhidin Issa Mchuzi, aliyeposti kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram kupitia mfululizo wa makala...
Dodoma yawaita Walibya mezani DODOMA Jiji imegoma kumuachia kirahisi mshambuliaji nyota wa timu hiyo, Paul Peter aliyekuwa akitakiwa na Al Dahra ya Libya na kuwaita mezani Waarabu hao wakiwa na mzigo wa maana kama kweli...
PRIME Prisons kunani? Manahodha wachomolewa! KUNANI Tanzania Prisons? Licha ya kuletwa kocha mpya, Aman Josiah habari ya kushtua ni kuona wakongwe wa timu hiyo wakiondolewa.
Yanga yaanza na kikosi cha mabao mengi KOCHA wa Yanga, Sead Ramovic ameamua kuiwekea MC Alger kikosi cha maangamizi akianza na washambuliaji watatu ambao wamekuwa wapo vizuri katika kucheka na nyavu na kusaidia mashambulizi.
Tamu, chungu kuahirishwa Chan 2024 Uamuzi wa kusogezwa mbele fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (Chan) 2024 hadi Agosti mwaka huu unaweza kuja na faida chanya na hasi hasa kwa Tanzania ambayo ni...
Mwamuzi wa Simba v Constantine huyu hapa SIMBA inaendelea kujifua kwa ajili ya pambano la mwisho la Kundi A la Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine ya Algeria, lakini mastaa wa timu hiyo wanapaswa kuwa makini kwani pambano...
PRIME Yanga, mtego wa waarabu upo hapa! YANGA inatarajiwa kushuka uwanjani kesho Jumamosi katika mchezo ulioshikilia hatma ya kwenda robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya pili mfululizo na ikichemsha kwa kutoka sare ya...
Kocha Amrouche yu wapi? ADHABU ya mechi nane alizoadhibiwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars, Adel Amrouche kwa kosa la kutoa shtuma nzito dhidi Shirikisho la Soka la Morocco (RMFF) ni kama imeisha, lakini...
Zanzibar Heroes waalikwa Ikulu, walamba Sh50 milioni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes Tsh50 Milioni baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2025.
Mashabiki Simba wabebeshwa faini ya CAF Ahmed alisema kuwa mchango huo utumwe moja kwa moja katika namba ya klabu.