Gor Mahia yaanza Kagame na kipigo MABINGWA wa Kenya, Gor Mahia 'K'Ogalo' imeanza vibaya michuano ya Kombe la Kagame, baada ya kulambwa bao 1-0 na Red Arrows ya Zambia katika mechi ya Kundi B, uliopigwa jana usiku kwenye Uwanja wa...
KMKM, KVZ zang'olewa Kombe la Shirikisho Zanzibar MAAFANDE wa KVZ na KMKM zimeaga michuano ya Kombe la Shirikisho Zanzibar (FA) baada kushindwa kufurukuta katika mechi za robo fainali ya michuano hiyo. KVZ iling'olewa jana Jumatatu kwa...
Ligi ya mabingwa Afrika, Yanga kiulaini tu WAKATI klabu sita zitakazopeperusha bendera ya Tanzania katikamashindano ya klabu Afrika msimu ujao, zimekwepa mtego wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf) baada ya kupata leseni ya ushiriki, upepo...
Kocha Man United atua Harambee Stars STRAIKA wa zamani wa timu ya soka ya Afrika Kusini, Benni McCarthy, anatarajiwa kutua Kenya mwishoni mwa wiki kwenda kuchukua mikoba ya kuinoa ya nchi hiyo, Harambee Stars, inaripotiwa Nation...
PRIME Fadlu ashika wanne Simba SC SIMBA ilikuwa na ofa sita mezani kutoka timu tofauti zikihitaji wachezaji wake dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari 15, 2025 lakini kati ya hizo, ni mbili tu ambazo ilizikubali na nne...
PRIME Walibya watenga Sh 3B kwa Mzize, mchongo mzima upo hivi SIKU chache baada ya kuripotiwa kwamba mabosi wa Yanga wamelegeza kamba kwa kuwa tayari kumuuza mshambuliaji nyota Clement Mzize, matajiri wa Klabu ya Al Ittihad ya Libya wameamua kufanya kweli...
16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya, leo ndo leo LEO ndo Leo kwenye usiku wa upangaji wa droo ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Baada ya juzi usiku kushuhudiwa miamba mingine nane ikitinga hatua hiyo baada ya michezo ya mtoano na kuungana...
TAYLOR SWIFT - Kwa pesa tu, aliufunga mwaka kibabe sana MWAKA jana ulikuwa na mambo mengi kwa wasanii wa muziki duniani, kuna wale waliomaliza kwa kuchukua tuzo, wengine walimaliza kwa nyimbo zao kusikilizwa sana na wengine walimaliza na maokoto ya...
Manchester United yaangukia kwa Osimhen MANCHESTER United inapambana kuhakikisha straika wa Napoli na Nigeria, Victor Osimhen anayecheza kwa mkopo Galatasaray anatua katika kikosi chao msimu ujao, lakini changamoto inayoweka dili hilo...
Ukiwataka hawa hata Pauni 70M haifiki LIVERPOOL, Manchester United na Arsenal zinasubiri dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwa mitazamo tofauti, lakini ukweli hakuna timu itafumbia macho dili la kunasa mchezaji wa maana kwa bei...