Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8971 results for Mwandishi :

  1. Yanga mafia yaajiri shushushu kuwasoma Waarabu

    KIKOSI cha Yanga kipo jijini Dar es Salaam kikiendelea na maandalizi ya michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara na ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini akili zote zikiwa juu ya mechi inayofuata ya...

  2. Yanga yazidi kunoga... Wazungu kuongeza mamilioni

    HUKO Jangwani mambo yanazidi kunoga. Kwa sasa Yanga ni kama kuna vurugu flani ya fedha, kwani tangu klabu hiyo ilipotangaza kupitisha rasimu ya katiba mpya ya mabadiliko yao mfumo wa uendeshaji...

  3. PRIME Yanga: Mayele ishu ni fedha

    BAADA ya kutetea taji lao la Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), mabosi wa Yanga wamesema katika uongozi wao wapo tayari kumuuza mchezaji yeyote ambaye watapokea ofa nzuri. Yanga ilitetea taji...

  4. Ligi Kuu Zanzibar yasimama

    LIGI Kuu Zanzibar (ZPL) imesimama kuanzia leo Jumamosi ili kupisha mfungo wa mwezi wa Ramadhani, huku ligi hiyo ikiwa imesaliwa na mechi za raundi tano tu kabla ya kumalizia msimu. Jana Ijumaa...

  5. Urais Yanga...Ni jeuri ya pesa, rekodi

    KUMEKUCHA Jangwani. Vita ya nafasi ya Urais wa Yanga imeanza. Kuna majina makubwa kwa mashabiki na wanachama ambayo kabla kesho Jua halijazama yatapishana kuchukua fomu za nafasi hiyo.

  6. Yanga wajazwa mkwanja, wawekwa kambini chini ya ulinzi

    YANGA walitua jijini Dar es Salaam juzi wakiwa na bashasha ya aina yake baada ya kukuta akaunti zao zimetuna. Kikosi hicho kilitokea Dodoma walikotoka suluhu na Dodoma Jiji kwenye mchezo wa...

  7. Simba yafafanua ishu ya jezi za Caf

    SIMBA juzi usiku ilizindua uzi mpya wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini watashtua mashabiki kwa kusema jezi hizo zingeanza kuuzwa Februari 15 na mabosi wa klabu hiyo wametoa ufafanuzi...

  8. ZA NDAANI KABISA: Mnigeria mbioni kusepa Simba

    HUKO mtaani kwa sasa mjadala wa straika wa Simba, Dejan Georgijevic ‘Mzungu’ kuamua kujiengua ghafla kikosini kwa tuhuma za kukiukwa kwa baadhi ya vipengele vya mkataba wake na klabu hiyo ya...

  9. Chama, Bocco wabebeshwa zigo Simba

    Clatous Chama na John Bocco leo watakuwa na kibarua kigumu cha kuibeba safu ya ushambuliaji ya Simba wakati itakapokabiliana na KMC ugenini kwenye Uwanja wa CCM Kirumba kuanzia saa 10:00 jioni.

  10. Simba kuangukia kwa wababe hawa...

    Baada ya kufuzu hatua ya makundi Klabu ya Simba inasubiri droo itakayopangwa Januari 8, 2021 kujua wapinzania wao. Simba imefika hatua hiyo baada ya kushinda mabao 4-0 dhidi ya FC Platinum ya...

Previous

Page 506 of 898

Next