Wayne Rooney amtupia zigo la lawama Wirtz LEJENDI wa Manchester United, Wayne Rooney amemtaja staa wa Liverpool, Florian Wirtz ndio anaharibu mfumo wa kocha Arne Slot.
'Slot anaikosea sana Liverpool, atakuja kujuta' GWIJI wa soka nchini Scotland, Craig William Burley ameonesha wasiwasi mkubwa kuhusu uamuzi wa kiufundi wa kocha wa Liverpool, Arne Slot, baada ya timu hiyo kupoteza mechi ya Ligi ya Mabingwa...
Arne Slot ‘amtibua’ gwiji Liverpool LEJENDI wa Liverpool, Jamie Carragher amemshambulia vikali kocha wa timu hiyo Arne Slot na wachezaji wake baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo, akisisitiza kwamba wanacheza kama timu ndogo.
De Paul: Tuna deni la kulipa kwa Lionel Messi Kiungo wa Inter Miami, Rodrigo De Paul, amekiri kuwa hatua ya Lionel Messi kukubali kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo, imewapa hamasa wachezaji wengine klabuni hapo ili...
Lamine Yamal amejifunza kutokana na makosa yeke Maneno ya mshambuliaji wa Barcelona, Lamine Yamal kabla ya mechi ya El Clásico yalizua gumzo kubwa kuliko hata kiwango chake uwanjani, baada ya Barcelona kupoteza mechi hiyo na huenda kijana huyo...
Ferdinand amshauri Kobbie Mainoo, amtaka kuiga mfano wa Casemiro Beki wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, amemshauri kiungo Kobbie Mainoo kuiga mfano wa mchezaji mwenzake Casemiro wakati akipitia kipindi kigumu katika klabu hiyo.
Amorim atangaza msimamo ishu ya Kobbie Mainoo, Joshua Zirkzee Kocha Mkuu wa Manchester United, Ruben Amorim amezima uvumi unaodai kuwa wachezaji Kobbie Mainoo na Joshua Zirkzee wanaweza kuondoka kwenye klabu hiyo ya Old Trafford, Januari 2026.
Kadi nyekundu yamuibua Maresca, ang’ata na kupuliza KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca, alikosoa kadi nyekundu aliyoonyeshwa staa wake Malo Gusto, lakini pia alimsifu kwa kuchukua uamuzi uliosababisha kadi hiyo.
Tuchel amchana Rashford, mwenyewe afichua kilichomuangamiza Kocha wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel amemuonya Marcus Rashford kwa kumwambia ni lazima aonyeshe uwezo wake au akubali hatari ya kumaliza uwezo wake kisoka katika kipindi hiki ambacho...
Dah, Mr Manchester United ameumaliza mwendo SHABIKI wa damu kabisa wa mchezo wa soka aliyebadili jina lake na kuitwa Mr Manchester United na kuchora tattoo ya nembo ya klabu hiyo kwenye paji lake la uso amefariki dunia akiwa na umri wa...