Mmesikia? PSG inasubiri kumbeba bure Vinicius Jr MABINGWA wa soka wa Ufaransa na Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris St-Germain wameripotiwa kutengeneza mchakato madhubuti kabisa wa kuhakikisha wananasa saini ya supastaa wa Kibrazili, Vinicius Jr...
Tuchel atuma ujumbe kwa mastaa England KOCHA mkuu wa England, Thomas Tuchel amewataka mastaa wake watakaoanzia benchini kwenye fainali za Kombe la Dunia kuwa na hasira wanapoingia uwanjani ili kunyakua taji hilo.
Mbeumo hajapenda Cameroon kuchapwa na DR Congo STAA wa Manchester United, Bryan Mbeumo ameonekana kuwa mwenye huzuni kubwa baada ya timu yake ya taifa ya Cameroon kupoteza fursa ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026.
Mbappe aibua hofu Madrid SUPASTAA, Kylian Mbappe ameibua wasiwasi mkubwa huko Real Madrid baada ya kuondoka kwenye kambi ya Ufaransa kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya enka.
Jesus afunguka mpango wake wa kurejea Palmeiras : GABRIEL Jesus amefichua dhamira yake ya kurudi kwenye timu yake ya zamani Palmeiras wakati atakapoamua kuachana na Arsenal.
Sakata la kesi 115 za Man City linavyosubiriwa MANCHSTER City na klabu nyingine za Ligi Kuu England zinasubiri kwa hamu hukumu ya kesi inayoikabili miamba hiyo inayonolewa na Mhispaniola Pep Guardiola juu ya udanganyifu kwenye matumizi ya pesa.
Hawa wakitajwa, yametajwa mabao 2025 RAHA ya mechi, mabao. Hicho ndicho kinachofanya mashabiki wengi kwenda kwenye viwanja vya soka, kutazama ufundi wa kutikisa nyavu, jinsi makipa wanavyoteswa na kufanywa kuwa bize kuokota mipira...
Desabre atuma salamu Super Eagles, asisitiza kukiwasha Kocha mkuu wa timu ya taifa ya DR Congo maarufu Leopards, Sébastien Desabre, amesisitiza kuwa timu yake ina ubora wa kuifunga ‘timu bora Afrika’ Nigeria, hivyo amejipanga kwa mpambano huo wa...
Gabriel Jesus afichua jambo Arsenal MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Gabriel Jesus amefichua kuwa ndoto yake ni kurejea Palmeiras ya kwao Brazil.
Roque avunja ukimya dili la kurudi Ulaya NYOTA anayewaniwa na klabu za Man Utd na Chelsea, Vitor Roque amethibitisha mipango yake ya kutaka kurudi Ulaya.