Video Dah! Dakika 10 za Ahmed Ally Simba ikiambulia sare ya maumivu dhidi ya Yanga bao 2-2 uwanja Isamuhyo Jumatatu, Mei 04, 2026
Mabao 38! Yanga U-17 yatikisa ligi ya vijana LICHA ya kuwa ni miezi mitatu pekee tangu akabidhiwe jukumu la kusimamia mradi wa Yanga Soccer Schools, kocha Mohamed Badru ameanza kuonyesha matunda ya kazi yake kwa kumuibua Reny Nyanguge...