Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Yanga kumekucha CAS, Bodi ya Ligi yakomaa

CAS Pict

Muktasari:

  • Dabi hiyo katika Ligi Kuu Bara duru la pili, imeendelea kupigwa nje ya uwanja na sasa kuna mbio zinapigwa kwa hesabu za kisheria baada ya vinara wa ligi, Yanga kufanya kweli rasmi kufungua kesi kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) jijini Lausanne,Uswisi.