Mandeke kutoka Simba hadi michuano ya UEFA WAKATI mwingine mambo hutokea haraka sana tofauti na vile ambavyo inatarajiwa. Kutoka timu ya vijana ya Simba hadi kuwa kwenye orodha ya wachezaji ambao watatumika katika michuano midogo ya Ulaya...