Kiemba, Domayo zamu yenu kuchambuliwa UNAPOONA waandamizi wawili wa uchambuzi wa soka wanaajiriwa katika klabu ya soka hiyo ni heshima kubwa kwa tasnia ya habari.