Kakolanya awapa tahadhari makipa Kariakoo Dabi KIPA wa zamani wa Simba na Yanga, Beno Kakolanya ambaye kwa sasa anaichezea Polisi Tanzania, ameizungumzia Kariakoo Dabi na tahadhari kwa makipa Djigui Diarra wa Yanga na Djibrilla Kassali wa...
Simba, Yanga zaipasua kichwa Mashujaa MECHI tatu zijazo za Ligi Kuu Bara zimekaa kimtego kwa Mashujaa FC, inayokabiliwa na mtihani wa kukutana na vigogo Simba, Azam FC na Yanga mfululizo huku kocha wake, Amani Josiah, akieleza namna...