TFF yaweka mezani mpango wa timu za taifa SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeweka ratiba na mipango ya timu mbalimbali za taifa zinazokabiliwa na mashindano ya kimataifa huku Taifa Stars ikiwa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2027...
Wizara yapiga 'stop' jezi za Stars, TFF ikitia neno WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema haitambui matangazo ya jezi mpya za timu za taifa za soka , ikieleza kuwa mchakato wa kuzibadilisha haukuishirikisha Wizara licha ya...