Nyota Simba nje wiki nne SIMBA imepata pigo baada ya beki wa kulia wa kikosi hicho, Nathaniel Chilambo kupata majeraha ya mpasuko wa kano, hali itakayomfanya kukaa nje ya uwanja kwa zaidi ya wiki tatu hadi nne, jambo...