Dabi yaipeleka Simba Afrika Kusini SIMBA imeamua kuondoka nchini na kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kuweka kambi maalumu ya siku 10 huku uongozi wa klabu hiyo ukilenga kuipa timu utulivu na mazingira bora ya kujiandaa na...