Mambo tisa ya kuangalia EPL wikiendi LIGI Kuu England iliendelea jana kwa mchezo kati ya Brentford na Chelsea waliokuwa wageni, ambapo matokeo unayo msomaji!
Msako pointi tatu Championship unaendelea RAUNDI ya pili ya Ligi ya Championship kwa msimu wa 2026-2027, imeendelea jana kwa mechi mbili kupigwa na nyingine tatu zikipigwa leo, kisha kuhitimishwa kesho Jumapili, huku ushindani ukianza...