Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mrundi amtaja Fei Toto, Mudathir Uarabuni

Muktasari:

  • Ndumumwe ambaye msimu uliopita alikuwa kinara wa mabao akifunga mara 17 Ligi Kuu Bara aliwataja baadhi yao kuwa ni Feisal Salum 'Fei Toto' wa Azam FC, Mudathir Yahya, Seleman Mwalimu (Yanga) na Ahmed Bakari Pipino (Singida Black Stars) kuwa wanaweza kwenda nje ya nchi na kufanya mambo makubwa kwa kuwa wana vipaji vikubwa.