EPL leo kama jana ZIMESHACHEZWA mechi 10 katika Ligi Kuu England msimu wa 2026/27, na sasa ni mapumziko ya pili na ya mwisho ya kimataifa kwa mwaka huu. Inaonekana mechi 10 ni idadi nzuri ya kuanza kutathmini...
Dakika 15 zilivyowavuruga Serengeti Boys TAKWIMU hazidanganyi ndio unavyoweza kusema baada ya Timu ya Taifa ya wavulana U-17, Serengeti Boys baada ya kupata sare ya mabao 2-2 dhidi ya Costa Rica kwenye mechi ya kundi I ya Kombe la Dunia...