Maandalizi ya mwisho ya Yanga kabla ya kuivaa MC Alger
Mwandishi wa MwanaSpoti, Doris Maliyaga, yuko jijini Algiers nchini Algeria kufuatilia kwa karibu mechi ya marudiano baina ya yanga na AC Alger kuwania nafasi ya kucheza makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Hii ni ripoti yake