Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Kocha: Simba inahitaji sura mpya hasa eneo hili!

Muktasari:

  • Simba ilimaliza katika nafasi ya pili katika Ligi Kuu Bara nyuma ya Yanga iliyotetea taji kama ilivyofanya katika Kombe la Shirikisho kwa kuifunga Singida Black Stars iliyowang’oa Wekundu hao katika nusu fainali ya michuano hiyo, lakini ikilikosa taji la Ngao ya Jamii baada ya kufungwa katika nusu fainali na Yanga na katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025 ilifungwa fainali na Mlandege.