Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Kocha Msaidizi Mwadui FC afariki dunia

Muktasari:

Ntambi ambaye alikuwa mchezaji wa zamani wa Biashara Shinyanga, amefariki katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga.

Uongozi wa Mwadui umethibitisha kifo cha Kocha Msaidizi wa Mwadui FC,
Jumanne Ntambi ambaye amefariki dunia mjini Shinyanga.
Ntambi ambaye alikuwa mchezaji wa zamani wa Biashara Shinyanga, amefariki katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga.
Taarifa zinasema aliugua muda mfupi na alikuwa akisumbuliwa na tatizo la moyo ambalo liligundulika mwishoni.
Ntambi enzi za uhai wake alikuwa mwajiriwa wa klabu ya Mwadui FC.  Endelea kufuatilia ukurasa huu kupata taarifa zaidi.