Gabriel Martinelli hashikiki Saudia GABRIEL Martinelli ameanza kuonyesha makali yake katika Ligi Kuu ya Saudi Arabia, baada ya kufunga mabao matatu katika mchezo mmoja na kuiongoza Al Hilal kuichapa Al Taawoun mabao 6-0, mchezo...