Straika Kagera Sugar aanza tizi MSHAMBULIAJI mpya wa Kagera Sugar, Ally Salum ameanza rasmi mazoezi na timu hiyo, baada ya kushindwa kuitumikia tangu alipojiunga na kikosi hicho, Agosti 3, 2026, akitokea Kariobangi Sharks...