Mtihani wa Ngorongoro AFCON U-20 TIMU ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, imefanikiwa kukata tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa Afrika kwa Vijana (AFCON U-20) mwaka 2027 zitakazofanyika nchini...
Taifa Stars yaanza kwa kichapo nyumbani AFCON 2027 TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imepoteza mchezo wake wa kwanza wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2027) baada ya kufungwa nyumbani kwa mabao 2-0 na Guinea-Bissau.