Kocha Ethiopia aondoka na hili CECAFA U-20 KOCHA wa timu ya Taifa ya U-20 ya Ethiopia, Benjamin Ziemer amesema vijana wake walitengeneza nafasi kadhaa za kufunga dhidi ya Tanzania, lakini walishindwa kuzitumia vizuri hali iliyowagharimu...