Barcelona, Real Madrid wamwindia Haaland MATAJIRI wa Hispania, Barcelona na Real Madrid, wameanza kuangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland, huku mustakabali wa mabingwa hao wa England ukiwa...
Mac Allister afunguka mrithi wa Messi Argentina ALIYEKUWA mchezaji wa Argentina, Carlos Mac Allister, amependekeza jezi namba 10 ya timu hiyo ya taifa isipewe mrithi wa moja kwa moja wa Lionel Messi mara baada ya nyota huyo kumaliza kuitumikia...